Msaada: Fundi mwakilishi wa sony

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
212
Reaction score
81
Shalom,
Nina redio aina ya Sony, mafundi kadhaa wamenieleza imekufa kadi inayo control ''USB na mlango wa CD'' hivyo haisomi flash na deck haifunguki. Mafundi wanasema radio ni ya kisasa spea zake bado hazijasambaa.

Naomba msaada kama kuna fundi mwakilishi wa Sony and fundi anayeweza kuwa na kadi hii.

Asanteni
 
Mkuu, nenda kwa wakala wa sony. Duka lao lipo mtaa wa Samora karibu na NHC house (jengo jipya). Wao watakuelekeza walipo mafundi ambao authorized. Nakumbuka kama wapo Mikocheni karibu na East Africa School kama utapita njia ya Cocacola kutokea Mwenge.
 

Nashukuru sana kiongozi nitafuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…