Msaada: Fund Proposal for College Fee

Msaada: Fund Proposal for College Fee

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
33
Wakuu naomba kusaidiwa ni wapi na namna gani naweza kuandika na kupeleka proposal yangu kwa ajili ya kuombea ada ya kozi fulani ya ujasiriamali inayotolewa nje ya nchi.

Kozi hiyo haitolewi popote kwa hapa nchini Tanzania.

Msaada tafadhali.
 
Coz ya ujasiriamali? Haitolewi nchini? Mzumbe ipo BBA. ENTREPRENEURSHIP DEVELOPMENT. na masters ipo. MUccobs zipo za kutosha vip bhana ni ujasiriamali ghani unaoungelea?
 
Mkuu usikremu hayo maelimu yenu ya kupeana vyeti na kukariri,ujasiriamali unawigo mpana sana zaidi ya hizo Bachelor za Mzumbe ulizotaja hapo.
 
Acha uongo.
We kozi ya ujasiriamali hadi uende nje eti Tanzania hauna.
Nyambafff,umenikera kweli kwa kuona wote humu mazuzu kama wewe.

Hakuna maisha ya mkato,hembu jipange acha umbulula.

Mnatoroka Mirembe bila memo mnatupa sana shida JF.

Mtafute mwenzio lukeo Sakafu,atakupa msaada
 
Mkuu sikulaumu,hujatembea duniani ukaona,ujasiriamali unaoujua wewe ni wa kufuga kuku,kutengeneza sabuni,tie and die n.k ndio mana unahara bila ustaarabu.
 
Huyu jamaa kiazi kinona. Kaguswa kidogo kapaniki. Yani anataka ufadhili kwa kozi ya ujasiriamali,asome amalize aje afanye biashara! Ha ha ha
 
Mkuu usikremu hayo maelimu yenu ya kupeana vyeti na kukariri,ujasiriamali unawigo mpana sana zaidi ya hizo Bachelor za Mzumbe ulizotaja hapo.

Sasa kma unajua elimu ztu za kukariri alafu unaomba ushauri huo upeo wa kukushauri tunautoa wap?tafta ma genius wenzio
 
Proposal za maombi ya hiyo course hebu dadavua vizuri wanakuhitaji uandike proposal yoyote inayohusu ujasiriamali au?
 
Huyu jamaa kiazi kinona. Kaguswa kidogo kapaniki. Yani anataka ufadhili kwa kozi ya ujasiriamali,asome amalize aje afanye biashara! Ha ha ha
Usiwe na mentality ya kuajiriwa tu kijana,huo ni utumwa wa fikra.Hata waziri mkuu wako hivi juzi tu alisisitiza wazawa wafungue viwanda vidogovidogo na vya kati i0li kukuza uzalishaji wa ndani,huo ni ujasiriamali na pia ni biashara.
Mbali zaidi ina create ajira kwa wengine,sasa sijui unachoshangaa kuhusu biashara ni nini.
Poor you!
 
Taja hiyo kozi unayotaka kwenda kusomea tukujulishe zaidi,hata hivyo sina imani kama kweli hiyo kozi haipo hapa nchini kuanzia Mzumbe, Muccobs, UDSM, SUA, ESAMI, SAUT, Tumaini, UDOM, Mount Meru, St Joseph, IFM, CBE, nk. Labda ungesema unataka kwenda kusomea ng`ambo ila si kwa maana ya kuwa hapa nchini haipo.
 
Halafu, hii mada kama vile ni jokes tu, hivi unaandikaje fund proposal zaidi ya vile ilivyokuwa outlined kwenye fee structure ambayo huonesha fee paid direct to school and fund for personal use kama vile chakula, malazi, vitabu nk. Hapa unaleta utani tu usiokuwa na tija. Hata hivyo bado tunaweza kukusaidia endapo utafunguka sawa sawa
 
Nilifikiri zaidi ya fee structure na personal fund,ni vizuri kama ningechanganua ni kwa kiasi gani baada ya kusoma kozi hiyo ingeweza kunisaidiaje na pia ingetoa mchango gani kwa jamii na taifa kwa ujumla mkuu.
 
Usiwe na mentality ya kuajiriwa tu kijana,huo ni utumwa wa fikra.Hata waziri mkuu wako hivi juzi tu alisisitiza wazawa wafungue viwanda vidogovidogo na vya kati i0li kukuza uzalishaji wa ndani,huo ni ujasiriamali na pia ni biashara.
Mbali zaidi ina create ajira kwa wengine,sasa sijui unachoshangaa kuhusu biashara ni nini.
Poor you!

Naweza kukuajiri mkuu na kukusomesha pia.
 
Back
Top Bottom