Mimi natumia zaidi PythonAnywhere na Heroku, jua kwamba ninadevelop web applications kwa kutumia Python na Ruby. Ninahost Python based applications katika pythonanywhere na Ruby based applications katika Heroku. My development environment is GNU/Linux. Enjoy!