Chagger boy
Member
- Jan 27, 2018
- 50
- 39
Salamu zenu ndugu zangu
Natumaini ni wazima kwa uwezo wa Mungu
Ninachoitaji kutoka kwenu ni ushuri pia na Msaada mkubwa toka kwenu ninachoomba kutoka kwenu ni
Kwanza kabisa mm nachukua mchepuo wa science tena PCB
Lakn ninachoomba kwenu ni kitu kimoja tuu
NINAOMBA MNIPE FORMAT YA MTIANI JINSI ULIVYO YANI PAPER 1-3 NA MAKSI ZAKE KWENYE KILA TOPIC ILI NIJUE MAPEMA ninawaomba sana ndugu zangu.