Msaada FOREX

Mkuu nakupa 25% of your investment monthly...Na kama unahitaji capital yako utachukua baada ya miezi 3.
kwanini iwe monthly na kama ni monthly asilimia ingepanda kidogo mkuu.....unless uyo mtu anaweka 4000$ + ndo anaweza kufeel kwamba kunakitu kinaendelea
 
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
Kuna mentor matata sana anaitwa Hassan ni mmisiri hakika hutajuta anatoa signal na analysis ......njoo tuungane tulipie huduma .
 
Fungua account kwa Templer CENT ACCOUNT udeposit $5 au ata $10 ndio uchezee so ata ukiunguza hiyo haiumi kuliko kutrade demo. Real account ina raha yake kwanza unakuwa serious sana kwenye kutrade. Ukicheza na demo sna unakuwa muoga mimi nilianzaga na $ 2 ikaungua nikaweka $5 nkipatapa $ 15 nikasimama kama week then nikaingia tena na $5 ikaungua sikukata tamaa nikadeposit $25 kwenye standard account ndio mpaka leo sijatoka ila uwe makini sna na LOT SIZE usizidi 0.01 usije ukashindana na wanaoweka LOT SIZE ya 1 hao wana Capital kubwa.
# WEKEZA KILE AMBACHO UNAWEZA KUSTAHIMILI KUPOTEZA NA UKAWA SAWA #
Shukran mkuu! Hii ni ni nzuri nimeikubali!
Vip huyo templer unaweza kudeposit na kutoa kwa mpesa?
 
Yeah templer ndio broker aneruhusu kudeposit kwa mpesa na CENT ACCOUNT unaweka kuanzia $1 so ni wew tu kujifua unafumba macho kama vile unaBET kwa mhind mpak pale utakapoiva utajikuta umeunguza pesa isiyozid ata $20. Alaf usiweke PAIR nyingi anza na 2 tu ukiona zinaenda poa ndio unapanda alaf unaweza ukawa unatumia 30min au ata chini au ata 1min kama unataka kuona candle sticks zinavyochange na kama upo free all the time
 
Achana na hizo mambo chief,,
Fanya Mishe zingine,,

Kwanza yy kwa nn amekupa wwe na asimpe hata ndugu yake,,
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
 
Achana na hizo mambo chief,,
Fanya Mishe zingine,,

Kwanza yy kwa nn amekupa wwe na asimpe hata ndugu yake,,
hivi ninavyoongea akaunti yake uko mahututi nmeshindwa kwendana na kasi ya soko
 
Baada ya gawio profit inakuaje apo..
Ni lugha tu hapo mkuu tuseme una invest $1,000 25% yake ni $250 kila mwezi na ile $1,000 bado ipo palepale. Hapa inatakiwa mkataba baina ya broker na investor wa muda wa kuekeza. Haya mambo lazima uwe na mkataba manake kuna kupata na kukosa kwenye mkataba unatakiwa usome kila kitu ili ufahamu makubaliano yenu ya uwekezaji.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Usithubutu huyo kachoma billions za watu sasahivi hapatikani kwenye simu na ofisi zimefungwa ilikuwa arudishe hela za watu hii april naoma imeshindikana.....kuna rafiki yangu wa karibu ni muhanga wa hili
Kwa iyo mkuu mimi nilitaka nikawekeze pale ..nisiende tena?
 
Kwa wiki tu naifikisha dola elfu kumi, na wengineo mnaotaka hi service just PM me
Kama ni kweli na ni 100% guarantee hiyo issue basi wewe na familia yako yote mungekuwa munakaa guest house. Kwa sababu mungeuza nyumba yenu na mashamba yenu yote. Imagine Mil100 nfani ya wiki ushaigeuza Mil300? MIL 300 inageuka kuwa Mil900. Kwa maneno yako Mil 100 unaigeuza kuwa Blil5.4 ndani ya mwezi. I smell shit!
 
mkuu anaongea utadhani forex ya baba yake
 
Kama ni kweli na ni 100% guarantee hiyo issue basi wewe na familia yako yote mungekuwa munakaa guest house. Kwa sababu mungeuza nyumba yenu na mashamba yenu yote. Imagine Mil100 nfani ya wiki ushaigeuza Mil300? MIL 300 inageuka kuwa Mil900. Kwa maneno yako Mil 100 unaigeuza kuwa Blil5.4 ndani ya mwezi. I smell shit!
akaunt yangu inasoma pesa nyingi nami natrade lot kunzia 3standard lot had I 10lot na kwa position zaid ya NNE follow me Instagram @godi_fx
 
akaunt yangu inasoma pesa nyingi nami natrade lot kunzia 3standard lot had I 10lot na kwa position zaid ya NNE follow me Instagram @godi_fx
Its not as easy as you lead us to believe. Kama ingekuwa that easy Bakhresa asingehangaika na maviwanda.

Hiyo ni artificial manipulation ya currency, iko siku moja watasema tu market ime crush na wata wipe off pesa zote ndani ya accounts.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom