Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.

Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,316
Reaction score
840
Msaada wajameni kwenye tuta,,
Nina Flash nilimuazima mtu kuirudisha ikaja imepoteza mafile yang ila ujazo uko vile vile wa GB 4 ila ukifungua kuna file za MB 2 tu
Hatua:
1. Nilijaribu kurecover file kwa program ya Data Recovery but results hakuna kinachopatikana.
NAOMBENI MSAADA BANDUGUz humu ndani coz ina mafile muhimu sana jamani nsaidieni uuuuuu,,,,,
 
check huenda kuna files ziko hidden humo ndani sema huwa zinabadilishwa zinakuwa kama system files, mara nyingi huwa ni result ya virus.
fungua hyo flash afu;

Nenda organize---folder and search options----View--- click show hidden files---- afu click hide system files recommended baada ya hapo apply afu ok and ok

kuundo ulichofanya fuata procedure hizo hizo
 
IMEGOMA BRO hakuna kinachopatikana mkuu, hakuna programe nyingne ya kitaalamu zaidi?
 
NI RAIS SANA DOWNLOAD PROGRAM INAYOITWA "HP USB Disk Storage Format Tool" UTAWEZA KURUDISHA MEMORY YA HIYO FLADH YAKO BUT HUWE TAYAR KUFORMAT HIYO FLASH
 
bila shaka ujaifomati hiyo flash..

Jaribisha hii njia.
angalia hiyo flash yako imepewa herufi gani mf E au F..
fungua command prompt.(cmd)
kama unatumia windows 7 bonyeza start alafu pale kwenye search programs and files type CMD then enter..
itakuja hiyo cmd sasa andika herufi ya hiyo flash yako mfano kama ni f andika F: alafu enter
inatakiwa itokee F:\>
andika attrib -r -a -s -h alafu enter
cheki tena kwenye flash yako kama kuna vitu viongezeka..

all the best
 
Hao ni virus. Kuna virus uwa ata size yao gb 2 ata 4.

Solution ni kuformat hiyo flash
 
bila shaka ujaifomati hiyo flash..

Jaribisha hii njia.
angalia hiyo flash yako imepewa herufi gani mf E au F..
fungua command prompt.(cmd)
kama unatumia windows 7 bonyeza start alafu pale kwenye search programs and files type CMD then enter..
itakuja hiyo cmd sasa andika herufi ya hiyo flash yako mfano kama ni f andika F: alafu enter
inatakiwa itokee F:\>
andika attrib -r -a -s -h alafu enter
cheki tena kwenye flash yako kama kuna vitu viongezeka..

all the best

inaniambia atrib is not recognized as an internal or external command
 
NI RAIS SANA DOWNLOAD PROGRAM INAYOITWA "HP USB Disk Storage Format Tool" UTAWEZA KURUDISHA MEMORY YA HIYO FLADH YAKO BUT HUWE TAYAR KUFORMAT HIYO FLASH

Sio kirahisi hivyo !
 
Msaada wajameni kwenye tuta,,
Nina Flash nilimuazima mtu kuirudisha ikaja imepoteza mafile yang ila ujazo uko vile vile wa GB 4 ila ukifungua kuna file za MB 2 tu
Hatua:
1. Nilijaribu kurecover file kwa program ya Data Recovery but results hakuna kinachopatikana.
NAOMBENI MSAADA BANDUGUz humu ndani coz ina mafile muhimu sana jamani nsaidieni uuuuuu,,,,,

Mkuu umefanikiwa au bado mkuu!?
 
Kama bado hujafanikiwa, tafuta computer yenye antivirus yenye leseni na iliyo na latest virus database. Kwenye hiyo kompyuta nenda folder options kisha show hidden files na protected system files. Then chomeka flash yako, kisha scan for virus. Ukimaliza kuscan fungua flash uone mafaili yaliyopo. Bila shaka utayaona mafaili yako japo yatakuwa yamefifia. Copy mafaili yako kwenye folder utakalolitengeneza kwenye hiyo kompyuta.

Kitakachofuata ni ku-format flash yako, baada ya kuformat itoe flash yako.

Anza kufungua faili moja wapo katika ya yale uliyo copy kwenye folder ulilotengeneza. Save upya hilo file kwa luongeza herufi mbele au nyuma ( mf. Kama fili lililuwa "stories" save liwe "stories1")

Rudia hivyo kwa mafaili yako yote muhimu.

Ukimaliza, FUTA yale mafaili ya awali ( kwa mfano niliotoa futa "stories" )

Ukimaliza zoezi hilo la kuchosha chomeka flash yako, na urudishe mafaili yako.

Hapo utakuwa umemaliza.

USHAURI: Tujenge tabia ya kutunza mafaili kwenye folder ndani ya folder, hii husaidia mafaili yasifichwe kwa urahisi na virusi.
 
inaniambia atrib is not recognized as an internal or external command
kuwa mwangalifu na hizo command unavyoziingiza, ukikosea herufi hata moja tu kama ulivyofanya hapo juu lazima ikatae. (attrib *. -h -s /s /d) copy na paste ili kueouka kukosea, na mwisho usisahau kuexit kwa kutumia "exit" command (unaandika exit halafu unaenter) Hiyo njia aliyokupa ukweli2 lazima itakuonesha files zako zote,kisha unazicopy pembeni unaformat. fanya kwa uangalifu itakubali.
 
Last edited by a moderator:
kawaida usiogope, wakati huo majibu yote yapo google!

mkuu naomba msaada wako nina flash ya 8gb, imegoma kuingiza na kutoa data yeyote yaani ni kama ina password wakati sijaweka, baada ya hapo katika kujaribu nikataka niifomati kabisa lakini nayo inanigomea, inasema ni protected na kila nikijaribu inagoma na saizi nikichomeka kwenye computer inasema format nikifomati inaniambia ni protected. Mkuu tafadhali nisaidie kwa hilo.
 
umetumia tool gani kuformart?...most likely umeshaagana nayo hiyo!
 
umetumia tool gani kuformart?...most likely umeshaagana nayo hiyo!

Ya sahihi !
Flash ikiishakuwa Write protected ! Ghafla yenyewe tu ! Ujue tayari umeisha ikosa !

Na kuna njia nyingi to out there !
Zakutumia REGISTRY
na CMD commands ambazo zinatoa negative results !

Hamna hata moja inayofanya kazi ! Na ndio maana wanaotengeneza hizi flash wanaweka warranty ya miaka 10 mostly ! Kwahiyo any damage itakayotokea unarekebishiwa bure !

Tatizo thrid word countries tupo mbali sana na Teknologia ! Na ndo hivyo siasa zimetukaa sana kwenye vyichwa !
 
Back
Top Bottom