Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.

Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.

Msaada wajameni kwenye tuta,,
Nina Flash nilimuazima mtu kuirudisha ikaja imepoteza mafile yang ila ujazo uko vile vile wa GB 4 ila ukifungua kuna file za MB 2 tu
Hatua:
1. Nilijaribu kurecover file kwa program ya Data Recovery but results hakuna kinachopatikana.
NAOMBENI MSAADA BANDUGUz humu ndani coz ina mafile muhimu sana jamani nsaidieni uuuuuu,,,,,

tumia cmd commandline!
 
bado mkuuu

Hebu jaribu hii command line

ATTRIB -H -R -S /S /D G:\*. *

Ambapo herufi G itakuwa replaced na label ya hiyo flash yako itategemeana itapewa label kwenye computer yako, hakikisha unaangalia label kabla ya kutype hiyo command
 
Tatizo watu mnakimbilia kutumia windows ambazo zinalimitations nyingi karibu Linux world tu enjoy maisha
 
Back
Top Bottom