MSaada Flash haisomi kwenye Dikoda ya Azam

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
Naombeni msaada wakuu, toka niwe na hiki kingamuzi leo nikaamua nichomeke flash ili nijaribu kurekodi lkn flash kama mbili zimekataa kusoma.

Naombeni msaada ni jinsi gani nifanye ili niweze kutumia flash kwenye hii dikoda ya Bakhressa.
 
haiwezi kusoma kwa kwenda kwenye file manager cha kufanya chukua remote yako na ubonyeze kile kitufe cha play ndo flash inaweza kusoma
 
Kaka hiyo kitu imeniulia flash yangu 16Gb nilirecod vipindi kadha sasa katika kufuta kwenyo pc ikazingua ikabidi ni format ndio flash ikafa jumla hadi leo haisomi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…