G_real JF-Expert Member Aug 23, 2019 684 851 Nov 13, 2019 #1 Wakuu kuna jamaa nilimpatia flash 32 GB, baada ya kunirudisha ikawa haiingizi wala kutoa vitu. Mwenye kujua jinsi ya kuifungua naomba anielekeze.
Wakuu kuna jamaa nilimpatia flash 32 GB, baada ya kunirudisha ikawa haiingizi wala kutoa vitu. Mwenye kujua jinsi ya kuifungua naomba anielekeze.
Tzhacker 000 JF-Expert Member Dec 11, 2017 658 686 Nov 13, 2019 #2 Write Protection hio, Kutoka Shughuli sana kama Sio Mtaalamu,
G_real JF-Expert Member Aug 23, 2019 684 851 Nov 13, 2019 Thread starter #3 Tzhacker 000 said: Write Protection hio, Kutoka Shughuli sana kama Sio Mtaalamu, Click to expand... Dooh ko nafanyaje mkuu afu ubaya kweny pc aliyowekea jamaa kasepa
Tzhacker 000 said: Write Protection hio, Kutoka Shughuli sana kama Sio Mtaalamu, Click to expand... Dooh ko nafanyaje mkuu afu ubaya kweny pc aliyowekea jamaa kasepa
lameckkawawa JF-Expert Member Sep 13, 2015 944 665 Nov 13, 2019 #6 How to format a write protected USB flash disk tumia link hiyo fata maelekezo