tunage JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 252 Reaction score 168 Jun 1, 2017 #1 Habari wakuuu Samahani naomba msaada kwa mtu alie DAR na ana FL STUDIO,nimejaribu kudownload site mbalimbali na inakua na reg keys ila nikiinstall inakua DEMO...kwaio NAOMBA MSAADA
Habari wakuuu Samahani naomba msaada kwa mtu alie DAR na ana FL STUDIO,nimejaribu kudownload site mbalimbali na inakua na reg keys ila nikiinstall inakua DEMO...kwaio NAOMBA MSAADA
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 7,035 Reaction score 9,281 Jun 1, 2017 #2 ninayo fl studio 9,10, 11 lkn bahati mbaya sipo dar.........pole sana
Elya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 298 Reaction score 182 Jun 1, 2017 #3 Mlatinoh king said: ninayo fl studio 9,10, 11 lkn bahati mbaya sipo dar.........pole sana Click to expand... Lakini hata ingekuwa uko ulaya kama unazo ungeweza tu kumsaidia kwani c lazm umpe mkonon hata kwa cost sharing angezpata tu
Mlatinoh king said: ninayo fl studio 9,10, 11 lkn bahati mbaya sipo dar.........pole sana Click to expand... Lakini hata ingekuwa uko ulaya kama unazo ungeweza tu kumsaidia kwani c lazm umpe mkonon hata kwa cost sharing angezpata tu
DJ Kassu JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 382 Reaction score 282 Jun 1, 2017 #4 Ninayo Fl Studio12 kama una Demo nikutumie Reg Key yake. Sipo Dar but ninaweza kukutumia kwa Email au Dropbox/Google Drive/OneDrive.
Ninayo Fl Studio12 kama una Demo nikutumie Reg Key yake. Sipo Dar but ninaweza kukutumia kwa Email au Dropbox/Google Drive/OneDrive.
Elya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 298 Reaction score 182 Jun 1, 2017 #5 Kasu said: Ninayo Fl Studio12 kama una Demo nikutumie Reg Key yake. Sipo Dar but ninaweza kukutumia kwa Email au Dropbox/Google Drive/OneDrive. Click to expand... Hongera mkuu wewe kwel unayo nia ya kusaidi
Kasu said: Ninayo Fl Studio12 kama una Demo nikutumie Reg Key yake. Sipo Dar but ninaweza kukutumia kwa Email au Dropbox/Google Drive/OneDrive. Click to expand... Hongera mkuu wewe kwel unayo nia ya kusaidi