TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
Nauza Sony Camera ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Isipokuwa inayomichubuko kidogo katia body tu na sio screen lakini haina kasoro katika ufanyaji kazi.Na rangi yake ni pink.Ilitumika Uingereza lakini imeshafika Dar es salaam.Bei ni shs 120,000 naomba wasiliana katika namba hii 0766915299.
[h=3]Detailed item information[/h]
[h=3]Detailed item information[/h]