hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Naombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940s - 2000s) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana ni kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata tafadhali naombeni mnisaidie maelekezo.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles, torrent sites nako hamna seeders wengi kwa hiyo hazishuki)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.