jamani nahitaji msaada kurestore factory setting ya simu itel IT 1350 kuna mtu amejaribu patterns mara nyingi simu umejilock ikiwaka inauliza email lakini ukiweka haikubali sababu mtandao unakuwa uko off, msaada plz
1. zima simu yako kwanza 2.bonyeza batani ya kuongezea sauti na ile yakuwashia zote kwa pamoja 3.ng'ang'ania kati ya sekunde 15 - 20 seconds 4. subiri mpaka itakapo kuletea menyu ya uchaguzi 5.chagua neno factory setting kwa kutuia volume key