MSAADA EXPERT WA BCOM IN MANAGEMENT SCIENCE(procurement &logistic management/ UDOM

Chainz

Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
20
Reaction score
2
please kwa anaejua kwa undani hi coarse tusaidiane kujua umuhmu wake na hasara zake baada na wakati wa masomo npo nmechagulwa UDOM
 
sio mby imegawanyika katika information system pa1 na material mgt. kwa maelezo zaid nipm
 
please kwa anaejua kwa undani hi coarse tusaidiane kujua umuhmu wake na hasara zake baada na wakati wa masomo npo nmechagulwa UDOM
kozi nzuri tulia usome ... maliza mwaka wa kwanza njoo ntakupa ushauri zaidi
 
please kwa anaejua kwa undani hi coarse tusaidiane kujua umuhmu wake na hasara zake baada na wakati wa masomo npo nmechagulwa UDOM

Nami npo mwaka wa pili course nzuri inakupa knowledge ya IT na tena na businesses kwa ujumla ipo njema
 
Back
Top Bottom