Kwa anayefahamu; eti ni software gani nzuri itakayonisaidia kuandika kitabu?
NB: Kitabu changu ni cha kitaaluma, kina mathematical formulas, tables na Michoro mbalimbali!
Piaa je...?
Nima shine gani huweza kutengeneza kitabu kuwa simple rahisi kukibeba.
Na hata kuwa kidogo kizuri na kinachoweza kubebwa na kuwa simple kizurii
Piaa je...?
Nima shine gani huweza kutengeneza kitabu kuwa simple rahisi kukibeba.
Na hata kuwa kidogo kizuri na kinachoweza kubebwa na kuwa simple kizurii
Kinachofanyika hapa ni format wakati wa kuandaa kitabu. Saizi nzuri ni A5 ( A4 iliyotengwa mara mbili ), uzangatiaji wa karatasi husika kwa ubora ( Double Sides Gross Paper ).
Wakati wa ufyatuaji mashine yoyote yenye uwezo wa kutoa kwa ubora inafaa kabisa.