Msaada eti gari hii inaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida?

Hakuna gari tena hapo, mwambie alieigongesha akulipe na aache kukudanganya itarudi ktk hali yake ya kawaida kama awali.
 
Write your reply...Naomba kupata ufaham zaidi hivi magari madogo kama tax huwa na chassis.
 
pole sana kiongozi hiyo uza sp
ea vifaa ambavyo havikuharibika. Kisha ongezea hela ununue gari nyingine
 
Back
Top Bottom