Msaada eti gari hii inaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida?

eity 4

Senior Member
Dec 7, 2014
147
206
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? Msaada tafadhali, ikiwezekana na gharama zake.

IMG-20190704-WA0012.jpg
IMG-20190704-WA0008.jpg
IMG-20190704-WA0012.jpg
IMG-20190704-WA0010.jpg
 
Inaw
Muhimu Chassis iwe nzima, ila itakucost mkuu. insta kuna jamaa anaitwa ommypainter, naona jamaa yuko vizuri mazombie mengi anayarudisha na huyajui
Muhimu Chassis iwe nzima, ila itakucost mkuu. insta kuna jamaa anaitwa ommypainter, naona jamaa yuko vizuri mazombie mengi anayarudisha na huyajui
INAWEZA kunikosti kama sh ngapi vile
 
Hapo ni kununua kipande cha nyuma( quarter panel) na mbele hizo fender ni rahisi tu fix ila jiandae pesa kuteketea, pia kwa wajuzi wakiona watajua iligongwa. Kwa ushauri uza spea kama ilivyo kisha nunua mpya, gari ikishaanzwa kupigwa marangi na kuchomea inapoteza mvuto wa asili.
 
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? MSAADA tafadhari, ikiwezekana na gharama sake.
Hio gari imeua sehemu ambazo kubandika panel ingine ni ngumu hasa huko nyuma sio rahisi kurudi. Watanyoosha ila anaejua akiangalia tu ataona gari iligongwa imenyooshwa. Ni rahisi kama ingegongwa milangoni,bonnet,booty etc vitu ambavyo unaweza kubadili, ingawa wapo watu wanaokata na kuunga ila sishauri. Hio ni write-off material.
 
Naomba nikueleze hali halisi...

Kwa namna hilo gari lilivyogongwa inawezekana kutengenezeka ila halitakuwa kama mwanzo...wajanja watagundua kuwa limegongwa na kunyooshwa....

Ila ukweli ni kwemba litakugharimu si chini ya M 3 kulirudisha kwenye hali yake...

Ukiamua kuliuza hivyo lilivyo kama scrapper hutakosa M1.5 mpka M 1.8..

Ushauri wa bure....kama uchumi wako upo vizuri, uza hiyo kwa 1.5 M kisha ongezea kama 3.5M ili upate jumla ya 5 million..........

Nina uhakika ukiwa na milioni 5 ,utapata brevis nyingine kama hiyo namba C iliyotulia......bora usiwe na haraka wakati wa kutafuta.

Au kama si brevis na bado unapenda 6 cylinders, kuna GX 110 nazo zina bei ndooogo tu ukimvua mtu.

Ila kama uchumi haujakaa vizuri, peleka kwa fundi, umlipe kwa installment mpaka amalize kazi.......

Mwisho, trust me...hiyo gari haitapungua Milioni 3 kuinyoosha, rangi na matairi yaliyopasuka, taa, bushes n.k.

This is free advice...
 
Back
Top Bottom