Msaada, error code ya 0xc000007b kwenye PES 2018

MBEGU BORA

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
501
Reaction score
360
Natumia hp 15s-fq2xxx i5 11 gen, nemeinstall pes 2018 inaniletea iyo code apo juu, nikainstall pes 2017 inaleta tena iyo code. Nimejaribu kutumia tutorial za youtube karibia 9 za kurekebisha lakini wapi.

Naomba msaada

Umeinstall. Net framework, direct X na C++ distribution?
 
hii pc inasukuma game ila sio sana
1.cha kwanza instal microsoft visual
2.Install direct X
4.Install netframework kuanzia 4.5
 
Umeinstall. Net framework, direct X na C++ distribution?
Nimeweka .net framework, direct x kila nkiweka inanipa ujumbe kua ipo latest na iyo c++ inakubali ila error code 0xc00007b inarudi tena
 
hii pc inasukuma game ila sio sana
1.cha kwanza instal microsoft visual
2.Install direct X
4.Install netframework kuanzia 4.5
Poa, ngoja niweke direct x 11 na iyo .net framework 4.5. nitareta mrejesho
 
Thanks chief, kuna ilo file apo chini nimelidownload, tatizo limekwisha
Hio ni shortcut tu mkuu, ukipata muda updates vizuri file za juu ulizoambiwa, direct X update zote 11 na 9, na hizo C++ vyema eka zote 32bit na 64bit, itakusaidia games zozote kutoleta error.
 
Hio ni shortcut tu mkuu, ukipata muda updates vizuri file za juu ulizoambiwa, direct X update zote 11 na 9, na hizo C++ vyema eka zote 32bit na 64bit, itakusaidia games zozote kutoleta error.
Poa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…