sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Kama unasindikiza au kupokea mgeni utafahamishwa,napoingia unakuta boom gate upande wa kulia utaona button ya kubonyeza ambayo itakupa ticket halafu boom itakuruhusu kupita kuelekea parking. Gharama kwa muda uliokaa ndani ya airport utalipa ktk kibanda kabla ya kuchukua gari yako ambapo utapewa tiket ambayo itakusaidia kufungua boom ya gate la kutokea, wakati mwingine utakuta askari atakufungulia manual baada ya kuonyesha ticket yako.
Hehheheheheheh!!!.....haya bana ukifika kwenye Entrance gate mkono wako wa kulia utaona kimashine fulani na kuna buttona ya kubonyeza na utaibonyeza hiyo na ticket itatoka na geti litafunguka lenyewe, huna haja ya kushuka kwenye utabonyeza hiyo button ukiwa ndani ya gari.
Kisha utaenda kupaki gari yako kwenye parking, baada ya kumaliza mambo yako kuna kibanda kipo upande zilipo parking, utalipia pesa kwa kuwapa ile ticket na utapewa risiti ni shillingi 500 per hour.
kwenye Exit gate utapenyeza ile ticket uliyopewa kwenye Entrance gate na gate litafunguka lenyewe au wakati mwingine kunakuwa na wafanyakazi wanakusanya ticket kwa mkono na wanafunguwa geti wenyewe, kama hujui Wabongo kazi na dawa hapo ndio muda wale wanaopakigi magari yao masaa mengi unawapa vijana shilling1000 unapita.

General airport mgeni anakuja na ndege inaitwa KLM saa tatu usiku sasa sijui ni terminal ganiWapi Terminal One au Two?

Mwanzo linidhani unahitaji msaada kumbe nia yako tujuwe kuna demu wa Kidhungu anakuja na wewe ndio umetumwa kumpokea!! wahaya bwana!!Ishu nyingine nitamtambuaje mgeni wangu maana hatujawahi kuonana....nafikiri nitavaa nguo yenye rangi kali( crazy colour) ili iwe rahisi kwa yeye kunitambua ni binti wa kizungu
Hivi kwenda Terminal one kuna entry gate kweli!?Wapi Terminal One au Two?
hahahahahaahh my ribs mkuu hahahhahaahahhaahha..........hivi hawa wahaya mbona wanapenda sana kujikweza? hahahahhaMwanzo linidhani unahitaji msaada kumbe nia yako tujuwe kuna demu wa Kidhungu anakuja na wewe ndio umetumwa kumpokea!! wahaya bwana!!
Haya fanya hivi, kata kipande cha box kikubwa halafu andika jina lake kwa maker pen na usimame mstari wa mbele passenger wa KLM wanaposhuka Mzungu wako ataliona jina lake atakufuata yeye mwenyewe na atakukumbatia na usiogope na wewe kumu hag
Wapi Terminal One au Two?
Ishu nyingine nitamtambuaje mgeni wangu maana hatujawahi kuonana....nafikiri nitavaa nguo yenye rangi kali( crazy colour) ili iwe rahisi kwa yeye kunitambua ni binti wa kizungu
Poa mkuu hakika jamii forums ni home of great thinkers nimepata msaada tosha asanteni wakuuAndika Jina lake kwenye karatasi kisha utalishika kama bango