Kwanza unajua maana ya Calibration???
Calbration ni process ya kufanya kitu kilicho kengeuka kiwe katika usawa/ uhakika.
So unaweza kuwa na Temp gauge ukapima kitu ikakuambia kina 45c• wakati kitu kina 50c•hivyo kufanya calibration ni kufanya temp Gauge isome sawa. Issue namba moja lazima uwe na BENCHMARK
kwa maana nyingine uwe na kitu ambacho una uhakika 100% kinapima kwa usahihi. Hicho ndio kikusaidie kuwianisha
Mfano, Hata wakala wa vipimo WMA wakifika dukani kwako kukagua mzani wanakuja na mawe yao ya 1Kg, 2kg, 5kg na kadhalika ambayo wana uhakika na uzito wake na ndiyo hayo wanatumia kutest mawe yako kama yapo sawa na hayo.
So kabla ya kufanya calibration ya vitu vyako hakikisha una vifaa vya namna hiyohiyo ambavyo vitasahihisha mashine zako.
Pia hakikisha kama Temperature gauge yako na pressure gauge yako ina Adjustuble knobs or whatever kwa ajili ya kutest, regulate na kuvary ili uweze kuset upate unachotaka.
Maana kama Vifaa vyako vipo Rigid havina hata sehemu ya kuzungusha zungusha au kubonya bonya sijui utacalibrate vipi, labda ukanunue gauge nyingine