Msaada; Engine overhaul

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina katoy kangu aina ya starlet carat ninachokatumia katika misele ya hapa na pale. Nilikikwara kwa mtu, ila changamoto kubwa ikawa ni ulaji wa mafuta.

Aisee gari utadhani alphard inavyokunywa wese wakati kikawaida inatakiwa kugonga 16KM/L. Jingine likawa ni kuchelewa kuchanganya, yaan unaweza ukakanyaga accelerator mpaka mwisho lakini haichanganyi instantly mpaka kuovertake inakua risk.

NilijRibu kubadili nozzles na plug ila wapi, sasa nimeshauliwa kufanya overhaul. Swali je overhaul inasaidia nini katika matatizo hayo wakuu?
 
Mkuu yaan naweza nikaweka Lita Moja hata kilomita 5 nyingi unashangaa zimekata

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
du hii ni hatari,noah yangu sio mpya lakini inaenda 9-10km/l,na 1990cc,hiyo yako walau iende 13km/l,hivo vigari nilivipenda sana,kidogo nimvue mtu,sema kutokana na mambo ya familia,nikachukua noah road tourer..fanya overhaul ya injini...
 
Back
Top Bottom