Habari zenu wana JF. Mi natumia dikoda ya startimes, naomba mwenye ufahamu aniambie ni kifurushi gani inapatikana Emanuel tv ya TB Joshua. Ahsanteni na Mungu awabariki.
Startimes waliiweka Emanuel Tv kwa mbwembwe na matangazo kibao watu wakanunua ving'amuzi vyao kwa kasi wakapigwa biti zito waitoe wakasalimu amri wakaichomoa bila kutoa sababu zozote hadi leo.
startimes wapo humu wakanushe kama hawakupigwa biti!
Vipi king'amuzi cha digiteki hakina chanel ya emanuel tv? Mwenye nacho atujuze.
kwanza nikuulize uko mkoa gani? kama uko dar, mwanza nuniua nunua nkingamuzi cha agape (tin) au nunua dish kubwa ufiunge LNB ndogo na utaipata kwenye 20ku
Habari zenu wana JF. Mi natumia dikoda ya startimes, naomba mwenye ufahamu aniambie ni kifurushi gani inapatikana Emanuel tv ya TB Joshua. Ahsanteni na Mungu awabariki.
Vipi king'amuzi cha digiteki hakina chanel ya emanuel tv? Mwenye nacho atujuze.
kuna jinsi ya kuadd simple sana mkuu