Msaada: Elimu ya watu wazima

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Wadau wa Elimu mi nataka kujiendeleza japo umri umekwenda. enzizetu kwenda shule ya upili ilikuwa shughuri. ukizingatia shule ilikuwa moja MWANZA na baadae ikaja PAMBA. nifuate nini ili niweze kusoma Elimu ya watu waziwa. nimeishia std (vii) asanteni
 
Nenda kwenye ofisi za elimu za mikoa utapata maelekezo..

pia unaweza soma kwa mfumo Wa QT then ukipass utafanya mitihani ya form four

all the best.
 
Back
Top Bottom