Msaada. DVD WRITER

Msaada. DVD WRITER

mtAkI360

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
96
Reaction score
22
Nina Mlango wa dvd writer nikiweka cd yenye kitu inasoma vizuri lakini nikiweka empty cd inasema insect CD (haionekani kabisa). Msaada plz tatizo ni nini?
 
Nina Mlango wa dvd writer nikiweka cd yenye kitu inasoma vizuri lakini nikiweka empty cd inasema insect CD (haionekani kabisa). Msaada plz tatizo ni nini?
Mlango utakuwa hauna uwezo wa kuandika. Angalia kama umeandikwa RW. (Yaani read and write)
 
unaweza pia kuinstall driver ama software nzuri ya ku burn cd, pengine hardware ipo ila hakuna software ya kuona hio empty.
 
Back
Top Bottom