Wataalamu wa teknolojia nisaidieni. DVD Player yangu siku hizi haisomi flash. Badala ya kudisplay content ya flash inaandika "SMART UPDRADE, READ" halafu inaandika tena "STOP". Ni tatizo gani hili na nilitatueje? Asanteni.