Edgarcoco JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 232 Reaction score 81 Mar 3, 2018 #1 Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha
Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha
Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,474 Reaction score 4,007 Mar 3, 2018 #2 ninayo laptop aina ya HP 2000 kama utahitaji spare ya vyote hivyo nambie nikupe bei Edgarcoco said: Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha Click to expand...
ninayo laptop aina ya HP 2000 kama utahitaji spare ya vyote hivyo nambie nikupe bei Edgarcoco said: Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha Click to expand...