king henry
Member
- Sep 2, 2018
- 10
- 7
Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hali anaweza akapata siku moja na kupotea.
Pole sana, ni mabadiliko inaeza kuchukua miezi 3 kama imetoka si kwa bahati mbaya(kutoa) huwa mzunguko utasumbua kurejea katika hali yake ya kawaida usihofu zingatia mlo wa matunda na virutubisho mbalimbali na pumzisha mwili.Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hari anaweza akapata siku moja na kupotea .