Msaada display ya HP Compaq 6730s

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Wapendwa habari za muda huu
Naomba kujua kwa DSM wapi naweza kupata display ya HP Compaq 6730. Na bei yake. Nawatakia kazi njema.
 
Wapendwa habari za muda huu
Naomba kujua kwa DSM wapi naweza kupata display ya HP Compaq 6730. Na bei yake. Nawatakia kazi njema.
BEI YAKE NI 130,000.. Mitaa ya Agrey hata machinga complex vipo vingi tuu..size yake ni 15.4 LCD hazitumii inverter(kisasa)..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom