Msaada: Digital camera nzuri na bei zake

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wana technology

Nipo Mwanza nahitaji kununua digital camera ndogo kwa matumizi yangu binafsi

So naomba mnijuzi aina gani ni nzuri na bei zake zikoje ili nkaitafute dukani

Happy Boxing Day.
 
Aisee hiyo ni shida yangu pia nahitaji camera dsrl ya canon kwa kuanzia biashara ya photography. pia naomba kujua na bei zake ushauri kuhusu lens. bajeti yangu ni 600000
 
Njoo buzuruga nikuuzie Nikon 3200 safi kabisa. Hutojuta
 
Salaam wana technology

Nipo Mwanza nahitaji kununua digital camera ndogo kwa matumizi yangu binafsi

So naomba mnijuzi aina gani ni nzuri na bei zake zikoje ili nkaitafute dukani

Happy Boxing Day.
mkuu siku hizi simu zinapiga picha nzuri kuliko digital camera za kawaida (point and shoot camera).

kama unataka camera ya kawaida jichange nunua simu yenye camera nzuri, kuna simu za kizamani ambazo bado zinatoa picha nzuri sana.

labda kama unataka proffesional camera kama dslr ndio uhangaike kununua.
 
Duh hivi kuna mtu miaka hii bado ananunua dcamera.maana masimu yana camera kubwa na nzuri kulico hizo camera
 
canon 5d mark iv hii mwisho wa matatizo bei yake ni usd 3000 kwa soko la ebay...
 
Back
Top Bottom