Po Box 1696 Dodoma, email
info@mri.ac.tz maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.