Msaada dell latitude x 300

is3haq

Member
Oct 25, 2011
24
2
Habari zenu wana jf,
Ebana wakubwa mi nina tatizo katika mashine yangu aina ya Dell latitude x300,nimenstal OS ya Ubuntu 10.04 tatizo ni kwamba tangu niweke os hii spika kubwa ya mashine yangu haitoi sauti.Naombeni msaada wenu.
 
kwani spika ndogo inatoa sauti ? je icon ya speaker hapo juu inaonekana? au computer ndio haina sauti kama ni computer haitoi sauti nenda kwenye update manager update sound driver au nenda hapo kushoto ktk applications nenda hapo juu kwenye search application andika sound driver zitatokea click uta install jaribu
 
drivers za sauti zipo,spika kubwa,cd-room na baadhi ya port zipo kwenye plate ya chini ambayo ni ya kudock na ku undock,cd room inafanya kazi vizuri na hizo port nyingine pia,tatizo ni spika tu.
 
Back
Top Bottom