the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,104
- 357
Dell hiyo hapo haitoi sauti hata kwenye head phone hamna kitu. Kama kuna mtu anajua tatizo lake anisaidie kuondoa kero hii.
regards.
regards.
maisha ni kugawana kidogo, nitumie email yako via pm nikutumie ka driver kadogo tu kanaitwa sigmatel...jina limenitoka! Nimeshindwa ku-upload ki-file hicko hapa jf!