Wadau habari zenu ..
kwa anaetumia king'amuzi cha continental mie toka jana kinanisumbua sana nina tatizo la antenna ila kwa jana imeongezeka nimeshindwa kupata signal kabisa je>? tatizo ni antenna yangu au ni continental wenyewe hawako hewani
ni jaribu kuwapigia lakini sipati response na kurasa ya facebook hawajibu naomba msaada ilinijue tatizo ..