Wakati tunawasubiri, tubonge kidogo mkuu.. Shemeji Maho hajambo? Hapatikani Jf umempiga marufuku? Ushamvisha shela au tuwe watulivu?
Mkuu hapo inatakiwa 7b sio 7cNpo Tabora Mkuu.
Ndio mkuuDuh kumbe
King'amuziView attachment 1657210
Dogo habari. Ulifanikiwa hii issue?Mkuu hapo inatakiwa niweke ipi?