Msaada DC-HSDPA

Midevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
276
Reaction score
448
Habari zenu wakuu!
Naomba kufahamu kama simu yenye uwezo wa DC-HSDPA inaweza kufanya kazi kwa 3G networks za Tanzania?
 
Hspda pia ni 3g
Nafahamu, lakini 3G zipo za aina tofauti na aina hii sijawahi kuiona kwenye matangazo na websites za service providers, hivyo nakuwa na wasiwasi kama iko compatible na networks za Tz.
 
ndio inafanya, dc simply inamaanisha dual cell, badala ya kupokea data kwenye cell moja unapokea cell mbili haifanyi mtandao ukubali ama usikubali sababu ni setting ya mnara wa simu na sio kwenye simu yako.

peak ya 3g ni 21mbps ikiwa ni dual cell ni 42mbps hivyo almost simu zote zilizotoka miaka ya karibuni ni dual cell.

kujua kama simu itafanya kazi au haitafanya kazi kwenye mitandao yetu angalia frequency.

soma zaidi hapa
Dual Cell HSDPA Concepts
 
Shukran sana mkuu, jibu la kutosheleza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…