MSAADA..dawa za asili zinazosaidia mama ajifungue haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA..dawa za asili zinazosaidia mama ajifungue haraka.

Discussion in 'JF Doctor' started by queenkami, Sep 13, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wakubwa heshima zenu.

  Kwa kawaida mimba ikifikisha week 37 mtoto anakua amekamilika kila kitu na mama anatarajiwa kujifungua anytime.
  Hata hivyo mama anaweza kukaa hadi week ya 42 bila kusikia uchungu ila ifikapo week ya 42 inabidi uchungu ulazimishwe kitaalamu.
  Hivyo ni kawaida mtoto akizaliwa kati ya week ya 37 hadi 42.

  Sasa ninaomba kujua kama kuna dawa za asili zinazoweza kuactivate uchungu ili mama asisubiri hadi week ya 42 maana anaumwa sana mgongo na yuko week ya 38.

  TAHADHARI
  TUSITOE USHAURI TUSIO NA UHAKIKA NAO TUKAUA KIUMBE CHA WATU BURE.
  KAMA MTU HUJUI NI BORA UKAE KIMYA
  .
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Chai ya moto sana anatakiwa anywe,
  pia asiache kufanya mazoezi ya kutembea nayo husaidia kuleta uchungu haraka.
   
 3. mfirigisi

  mfirigisi Senior Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu tafadhari nakushauri mama asipewe dawa yoyote ya kienyeji kwa ajili ya labour , dawa hizo mara nyingi husababisha fetal distress na kumfanya mama afanyiwe cesarean section mara nyingine husabisha mtoto kuzaliwa akiwa na low score
   
 4. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  asante kwa tahadhari mkuu.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  polee........
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  pole ya nini The Boss
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ya kuuguza...
   
 8. REX

  REX JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jaman hayo mambo yalishapitwa na wakati,mama akazalie hospital hayo madawa yenu mtazaa mazezeta wa kutosha.
   
 9. g

  gwambali JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tafuta mavi ya punda ayachemshe anywe ya maji yake nusu glass yaan fasta mkimbize hospital
   
Loading...