kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 553
- 658
Habari Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Mimi Nina Kaka angu ambae juzi tu mwezi huu wa Saba ndo ametimiza miaka 40 Sasa anakunywa pombe, mchana asubuhi Na jion hata hajali Sasa inafika hatua Hadi kazini wanataka kumfukuza tunatafuta watu wa busara wanamwombea msamaha anakiri kuacha pombe lkn baada ya wiki moja analud Tena
Tatzo siyo kunywa pombe akinywa pombe matendo anayofanya hata kitaa huwezi kutamani yule akawa ndugu yako lkn Sasa Ni brother angu Haina namna nimekaa nae Zaid ya Mara tano lkn bado naona sijasolve tatzo kabisa akinywa anajikojolea matusi hovyo
Imefikia hatua hata kwenye kikao Cha family yeye anadhaulika hata Na watoto wadogo wa miaka 20 Na 18 kwa sababu wakati huo yeye Ni mtumishi wa uuma
Sasa hapa hatuelewi maana yeye ameishi Na wake wanne Hadi Sasa watatu waliondoka huyu wa nne ndo amemoa juzi tu hata mimba bado ni ndogo hao wote watatu wameondoka Na watoto Sasa tunahisi mwisho Wake hautakuwa mzuri kwa sababu ya watoto atastaafu watoto wengne hata form four hawajafika hivyo litakuwa tatzo ndo maana naomba dawa mwenye kujua pengne tutaokoa vitu vingi
Inaonekana mwanamke wake wa Kwanza alimuwekea limbwata Sasa je inaweza ikawa ndo sababu anakuwa hivyo au Kuna sababu zingne
Naomba kuwasilisha