kinandinandi
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 183
- 142
Asante ila majani ya mbigili siyajui kiongoziPole sana kama ni jipu la kawaida niliwahi kuelekezwa dawa ikanisaidia waweza kujaribu ikakufaa, chukua majani ya mbigiri yapondeponde kisha yafungashe kwenye jani pana hata la mgomba tumbukiza hicho kifurushi kwenye mkaa wa moto baada ya dakika chache ukitoe ukishafungua utakuta yamebadilika rangi kama vile mboga za majani zilizopikwa ikiwa bado ni ya moto pakaa kwenye jipu kisha acha yakaukie hapo baada ya kukaukia hapo jipu litapasuka lenyewe utasafisha na kukanda vizuri ili kuhakiki kama kiini chote kimetoka na mambo yatakuwa shwari
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Ukifanikiwa ulete mrejesho mkuu.Asante ila majani ya mbigili siyajui kiongozi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Asante nimesha uelewa mkuuMbigiri ni miba midogo midogo umbo la hiyo miba ni kama nyota mmea huo huwa haurefuki ila unatambaa huota hata kwenye makazi ya watu
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Una watoto wewe au umeandika?Na siyo lazima ucomment.Mpeleke kwa Makufuli
Asante ndugu umenisaidiaUna watoto wewe au umeandika?Na siyo lazima ucomment.
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Ndugu nimetumia njia ya kupaka kitunguu swaumu mida hii naona limepasuka kiini bado hakijatokabadoUkifanikiwa ulete mrejesho mkuu.
Hizo mbigiri hupatikana kipindi cha masika mvua zikiwa zinanyesha, siuji wewe ulipo huko ni msimu gani sasa hivi.
Endapo ukiona limepona bila kutoka tena ujue kiini kimeishaNdugu nimetumia njia ya kupaka kitunguu swaumu mida hii naona limepasuka kiini bado hakijatokabado
Post sent using JamiiForums mobile app
Kukamua jipu yataka Moyo, tafuta mtu wa jirani akusaidie au mpeleke dispensary wakusaidie kukamua, ukae nje wakuite wakimaliza halitarudi tena. Umpe dawa za homa piaNdugu nimetumia njia ya kupaka kitunguu swaumu mida hii naona limepasuka kiini bado hakijatokabado
Post sent using JamiiForums mobile app