donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Habari wakuu l,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Miaka mitatu iliyopita siku moja nikiwa naangalia TV sebuleni nilijikuta Nina blurred vision, kwenda kuchek zahanati nikakutwa Nina sukari.
Nilipewa dawa za kutumia hospital lakini kuna dawa za asili nilitumia mwishowe tatizo likatoweka halikunitokea tena na uzuri nikanunua mashine ya kupika glucose nyumbani nikawa nachek mara kwa mara. Sasa juzi niliona Dalili za kukojoa mara kwa mara, na vision inakua blurred.
From experience naona NI sugar level Itakua imepanda na bahati mbaya nilikua nimekuja kwenye msiba wa mama yangu mzazi so mashine nimeicha nyumbani. Hivyo naomba wakuu kwenye wazoefu au maarifa ya hii changamoto, wanisaidie ni jinsi gani ninaweza kuirudisha normal levels nikiwa nyumbani kabla ya kwenda zahanati.
Asanteni
sawa ndugu hiyo mbinu itatuliza lakin siyo kutibu ugonjwa maana hapo sukar itashulka bt ugonjwa upo pale pale.Dawa rahisi ya kuweza kukutibia tatizo hili la kisukari ndani ya siku
tatu tu ni kufuata utaratibu wa kula kama ifuatavyo:
1) Usile vyakula na kunywa vinywaji vilivyotengenezwa kiwandani
2) Usile vyakula vilivyotengenezwa kwa ngano
3) Usile chakula baada ya saa 2 usiku
4) Kula matunda kabla ya mlo wowote, yaani kwenye tumbo tupu, na hasa asubuhi kabla ya mlo wowote
5) Kunywa maji vuguvugu, kama unaweza ya moto, asubuhi kabla ya kupiga mswaki.
Jambo la msingi ni kuacha kabisa kutumia hizo dawa za kisukari na ufuate kwa uaminifu utaratibu huo wa kula kwa wiki 3 hadi mwezi moja najua utakuja kunishukuru baadae. Hata kama umehangaishwa na tatizo hili kwa miaka mingi kiasi gani njia hiyo itakutoa utumwani kabisa na kukuweka huru.
Kila la kheri
Pole sana mkuu, tumia mamumunya kama unayafahamu, chukua mawili yakate kidogo juu na chini kama unatoa kikonyo halafu yakate kate vipande vidogo vidogo visage na blender ukiwa umechanganya na maziwa fresh kisha weka kwenye friji uwe unatumia mara mbili kwa siku asubui na usiku, hii ni kwa kushusha tuu sukari na hayo mamumunya usiyamenye yaoshe vizuri tu.Habari wakuu l,