Msaada: Data recovery software

haina haja ya kucopy ww irun tu then itakuambia upatch then itakubali

Nashukuru mkuu...nimefanikiwa kurecover some of my stuffs but half of those recovered files and other media like music n video hazifunguki kbs na kuna nyingine ukizifungua huwa zinaleta kitu kingine tofauti na original media...tatizo linaweza kuwa ni nini na je kuna any possible solution on it?
 
hii mara nyingi inaweza kuwa ni kufanyia installation kwenye disk ambayo unataka kurecovery mfano unataka kurecovery vitu katika local disk C: then still bado unaitumia kuweka files hii itacause futher data loss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom