Msaada: Data processing katika research

Msaada: Data processing katika research

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
514
Habari wanajamvi! I hope you are all good!

I'm a university student na niko katika mchakato wa kandika research yangu ambayo iko qualitative na quantitative in nature. Nimekwisha kusanya data zote na kuzi-edit tayari ila hiccup iko kwenye kuziprocess na zinionyeshe matokeo. I'm about to use SPSS kama software katika research yangu.
I don't know how to process the data I've collected. Each book i try to consult seems too abstract to actually understand that part of data processing. I'm attaching an illustration from Kothari (2004). A little help would be sincerely appreciated guys!

attachment.php
 
Attachments

  • Untitled.png
    Untitled.png
    49.5 KB · Views: 876
Hello habari yako,

usijali umepata msaada! please send me your no! or call 0714213125

by the way am RESEARCH CONSULTANT under Gango Research consultant please see 'www.gangoconsult.webs.com' or even you can check my Facebook page
https://www.facebook.com/GANGORESEARCH

ni kweli kama unafanya analysis unatakiwa utumie SPSS au STATA or E VIEW lakini inayotumika sana ni SPSS ambayo unaweza fanya discriptive testes, crosstabulation, regression models test zote, Scale check (reliability test), Multivalent testes etc
 
well thanks, do i have to pay you?
 
well thanks, do i have to pay you?

if its just consultations on how to do its okay, its just free of charge but if you want me do some tastes obviously you will need to make payments as i will need import your data from questionnaire to SPSS, then start doing analysis. For just consultations is free!
 
I want it to be something i look at and be proud of as something that I've done by myself, so I'd rather just consult you man!
 
There is no anyone in university which you study who can given help.
even your lecture, then you looking us who have low knowledge about that.
shame on you
 
Mkuu anayeomba msaada pamoja na great thinkers tulio wengi humu jamvini tunaielewa vizuri lugha ya taifa kwa nini usimjibu kwa lugha ambayo unailewa vizuri kuliko kujidhalilisha kwa kutumia lugha ambayo hakika inakupiga chenga!!!!!!.
 
Mkuu hapo kwenye "discriptive testes" na "multivalent testes" sijakusoma vizuri unamaanisha testes as tests? Multivalent ni nini? Mkuu you will never get a second opportunity to make a first impression. Wanavyosajili a consulting firm huwa wanaangalia ujuzi wa wahusika kweli?

Dah imenisikitisha aisee huu ujanja ujanja..nyie ndio mnaoharibu elimu ya bongo..how do you write someone's thesis?
Halafu mnatoa Consultancy services for sure it looks like you company needs one at the moment...

I could not help it but laugh when i went through your webpage (hiyo paragraph ya OUR PRICE AND COST ndio imenimaliza kabisa)...bottom line is wewe mwanafunzi hebu consult statisticians wa chuoni kwenu ujiongeze huko huko maana ya kusoma ni ili uweze the basics of things....
 
Attachments

  • Gango.JPG
    Gango.JPG
    66.2 KB · Views: 237
Habari wanajamvi! I hope you are all good!

I'm a university student na niko katika mchakato wa kandika research yangu ambayo iko qualitative na quantitative in nature. Nimekwisha kusanya data zote na kuzi-edit tayari ila hiccup iko kwenye kuziprocess na zinionyeshe matokeo. I'm about to use SPSS kama software katika research yangu.
I don't know how to process the data I've collected. Each book i try to consult seems too abstract to actually understand that part of data processing. I'm attaching an illustration from Kothari (2004). A little help would be sincerely appreciated guys!

attachment.php

DUHH... HAHAHAHA KAAZZ KWELIKWELI....... HIYO RESEARCH CONSULTANT FIRM YENU ...NI JIPU...

INAHITAJI KUTUMBULIWA -ASAP- hizo TESTES ulimaanisha KENDE ama nini??

na vitu vyenye umeelezea hapo... it seem ww ni either Kibaha au dalali tuuu..... Hujui kitu kwenye hiyo field......

KWA HUYO STUDENT.... Nakushauri.. tafuta Vijana wa fani ya Economic and or Statistics... watakusaidia kwa namba nzuri
 
There is no anyone in university which you study who can given help.
even your lecture, then you looking us who have low knowledge about that.
shame on you

Daahhh.... wewe pia kama sio JIPU... basi ni zao la BRN... hebu acha utumwa... tumia lugha unayoweza kuimudu sawasawa!
 
Mkuu hapo kwenye "discriptive testes" na "multivalent testes" sijakusoma vizuri unamaanisha testes as tests? Multivalent ni nini? Mkuu you will never get a second opportunity to make a first impression. Wanavyosajili a consulting firm huwa wanaangalia ujuzi wa wahusika kweli?

Dah imenisikitisha aisee huu ujanja ujanja..nyie ndio mnaoharibu elimu ya bongo..how do you write someone's thesis?
Halafu mnatoa Consultancy services for sure it looks like you company needs one at the moment...

I could not help it but laugh when i went through your webpage (hiyo paragraph ya OUR PRICE AND COST ndio imenimaliza kabisa)...bottom line is wewe mwanafunzi hebu consult statisticians wa chuoni kwenu ujiongeze huko huko maana ya kusoma ni ili uweze the basics of things....

hahah mkuu umemaliza!
 
Haya majanga mengine jamani, huwezi kwenda kukusanya data kabla ya research proposal. Sasa wewe nani alikuruhusu? jinsi ya ku-process data hupatikana kwenye research proposal.
 
Kuna tatizo kubwa sana kwenye statistics kwa vijana wetu. Reference huwa ni kothari tu. Hizo ni basics. Muuliza swali lazima ujue aina ya data. Haitoshi tu kusema qualitative au quantitative research. Uko wapi, nawaza kujitolea for free statistics nzima na kukufundisha hizo tests
 
Mkuu anayeomba msaada pamoja na great thinkers tulio wengi humu jamvini tunaielewa vizuri lugha ya taifa kwa nini usimjibu kwa lugha ambayo unailewa vizuri kuliko kujidhalilisha kwa kutumia lugha ambayo hakika inakupiga chenga!!!!!!.

kwahyo mpaka andike eminem ndio aonekane anajua
 
There is no anyone in university which you study who can given help.
even your lecture, then you looking us who have low knowledge about that.
shame on you

Hivi hapa umeandika lugha gani? Anyway nashukuru umekuwa mtu wa kwanza kunichekesha leo
 
I want it to be something i look at and be proud of as something that I've done by myself, so I'd rather just consult you man!

okey later i check you, nimepata your no
 
Mkuu hapo kwenye "discriptive testes" na "multivalent testes" sijakusoma vizuri unamaanisha testes as tests? Multivalent ni nini? Mkuu you will never get a second opportunity to make a first impression. Wanavyosajili a consulting firm huwa wanaangalia ujuzi wa wahusika kweli?

Dah imenisikitisha aisee huu ujanja ujanja..nyie ndio mnaoharibu elimu ya bongo..how do you write someone's thesis?
Halafu mnatoa Consultancy services for sure it looks like you company needs one at the moment...

I could not help it but laugh when i went through your webpage (hiyo paragraph ya OUR PRICE AND COST ndio imenimaliza kabisa)...bottom line is wewe mwanafunzi hebu consult statisticians wa chuoni kwenu ujiongeze huko huko maana ya kusoma ni ili uweze the basics of things....

next time kabla huja reply ufikirie, nyie ndo msio endelea kazi kukosoa wenzio, wewe unafanya kazi gani, takataka wewe.
tena next time uache umbumbumbu wewe! nyie ndo mnaishia kutoa comment kwa watu bila kuendelea, Consultations ya research wala sio kitu cha ajabu, ila wewe unakiona cha ajabu kwa sababu akili yako mgando! Au unataka mpaka makampuni ya nje yaje waseme wanatoa consultations ya research ndo ukubali, acha ufala wewe

angalia makampuni makubwa kama IVORY RESEARCH wanatoa support! stastistics sio kazi ndogo, hata hao Ma-Dr na Ma -prof wa vyuoni wanawaambia wanafunzi watafute watu wa statstics wawasaidie kufanya test zao.

na kwa taarifa yako, kazi ya consultation hii inaniingizia not less than 2.4 milions per week nikiwa nimekaa tu nyumbani na laptop yangu tena bila kuhangaika na nimeajili vijana 2 for data collections we endelea kuhangaika na kucoment na tena nauwezo wa kukuajili.
 
Hivi tunaenda shule ili tufanyiwe au kupata ujuzi wa kufanya wenyewe ili tuwe wataalam wa baadaye. Utakusanyaje data bila kuwa na research proposal ambayo inaonyesha methodology ambayo kwayo data processing and analysis ni part and parcel ya methodology. Majanga
 
next time kabla huja reply ufikirie, nyie ndo msio endelea kazi kukosoa wenzio, wewe unafanya kazi gani, takataka wewe.
tena next time uache umbumbumbu wewe! nyie ndo mnaishia kutoa comment kwa watu bila kuendelea, Consultations ya research wala sio kitu cha ajabu, ila wewe unakiona cha ajabu kwa sababu akili yako mgando! Au unataka mpaka makampuni ya nje yaje waseme wanatoa consultations ya research ndo ukubali, acha ufala wewe

angalia makampuni makubwa kama IVORY RESEARCH wanatoa support! stastistics sio kazi ndogo, hata hao Ma-Dr na Ma -prof wa vyuoni wanawaambia wanafunzi watafute watu wa statstics wawasaidie kufanya test zao.

na kwa taarifa yako, kazi ya consultation hii inaniingizia not less than 2.4 milions per week nikiwa nimekaa tu nyumbani na laptop yangu tena bila kuhangaika na nimeajili vijana 2 for data collections we endelea kuhangaika na kucoment na tena nauwezo wa kukuajili.
Ni uungwana kupokea ushauri. Kuanza kutukana si usomi, jaribu kuelimika kidogo.
 
Dogo sijabisha kuwa kuna companies zinatoa statistical support but iko kikazi zaidi sio kwa wanafuzi the best you can do to students is to guide them and not to write them their proposal/thesis! Unasema mimi nataka watu wasiendelee? Uko serious kweli mimi na advocate wanafunzi waandike wenyewe thesis zao wewe unasema nataka wasiendelee? Unashauri waandikiwe? Tutafika kweli namna hii? Badili strategy yenu mfocus zaidi kusaidia mambo haya kama kwenye taasisi zinazofanya tafiti mbalimbali ambazo huwa wana-outsource mambo kama haya SIO KWA WANAFUNZI.

Pia hoja yangu haikuwa kwenye statistical support, ni kumuandikia mtu proposal au thesis tena mtu mwenyewe mwanafunzi wa degree, masters au PhD, this is utterly rubbish ni moja wapo ya stage anazotakiwa kupitia yeye mwenyewe.

Ni kweli unaweza kuniajili, tuanzie kwenye kuwarekebishia webpage yenu maana "kiinglish" mlichokitumia pale kuna uwezekano mkubwa kinawapotezea baadhi ya clients so mngeweza kuwa mnaingiza hata 10m easily as is. How can one make one too many typos in a page inayotakiwa kuwa ndio sura ya kampuni? How long have you had the webpage up and running? Didn't you see these mistakes? Plural ya person ni peoples? Au mlitaka tukisoma tujibu powerrrrr! This makes what you write to your clients questionable maana umeshindwa hata kuproof read your page which until now is still killing mbavu zangu 😛op2:
 
Back
Top Bottom