Ndugu zangu nakuja dodoma kwa kipindi cha miezi 3. Nahitaji chumba angalau nipunguze gharama za maisha.
Budget yangu ni laki moja (100k) kwa mwez.
Sifa za chumba nachohitaji
- Choo cha ndani.
- Fensi au Nyumba yenye usalama.
- Mwonekano muzuri wa chumba na kiwe kikubwa.
- Area C itapendeza zaidi, japo na maeneo mengine si mbaya kama nitaridhia.
Ni PM namba zako nitakutafuta mimi mwenyewe
Sent using
Jamii Forums mobile app