malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu ,wameniandikia x ray Tena
Sasa wakuu naomba kwa anaefahamu daktar bingwa wa mishipa ya fahamu moi anitajie
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu ,wameniandikia x ray Tena
Sasa wakuu naomba kwa anaefahamu daktar bingwa wa mishipa ya fahamu moi anitajie