Nenda kwenye tawi lolote la CRDB. Waambie unataka kufanya verification ya card yako kununua online, watakupa form ya kujaza, usisahau card yako uwe nayo. Wakishachuka fomu uliyojaza watakutumia SMS ambayo iko na account number na access code kisha iweke hapo. Mambo yatakuwa mazuri
Sent using
Jamii Forums mobile app