MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Aaron, Aug 5, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,126
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  kwa wale wenye ufahamu wa kozi hii kwa ngazi ya diploma wanijuze kwa upande wa upatikanaji wa ajira..! Nitashukuru sana.
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  hakuna LABARATORY ila ni LABORATORY ,re-check ur dictionary usije ukakosa hata chuo chenyewe.
   
 3. A

  Aaron JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,126
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  chuo nimepata bt kina course nyingi,, co kama unaulewa wowote kuhusu course hii nijuze kwa upande wa ajira.
   
 4. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ajira zipo katika mamlaka kama DAWASCO,EWURA na viwanda vya maji ya kunywa kama Azam,kwa kifup hiyo inaingia katika QUALITY CONTROL!
   
 5. e

  epau Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu hyo koz ipo chuo cha maji Rwega? Infact hyo ni bonge la fani kwasababu hapo utakuwa una deal na quality control... na ukiangalia mamlaka ye2 ya maji hayana wa2 hao wa quality control.. Bali 2na wa2 waliosoma civil eng.. au water supply and resources ambao wana act ktk upande wa quality control kwa upande wa matechnician.. Kwaharaka 2 ni fani ambayo itakuwa na ajira.. na ninadhani hyo koz haina mda mrefu.. mamlaka nyingi za maji wanawa2mia malaboratory technicians.. So! Ndugu hapo umelamba dume.. Hapo utastand upande wa maji na chemical.. yan ni zaidi ya labo technicians..
   
 6. A

  Aaron JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,126
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  asante mkuu ninaanza mwaka huu katika hiki chuo cha Water development an menagemente institute zamani kama rwegalulila..nimevutiwa sana na course kwani hapo mwanzo ilikuwa niende DIT kuchukua LAB.TECHNOLOGY lakini hii naona ina wigo mpana wa ajira..nakomaa nayo ctoiacha.
   
 7. e

  epau Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ua welkum mkuu.. Ukiingia piga buku.. Isijekuwa una morali 2 ya kuulizia soko la hiyo koz shule ikakushinda. kwenye vyuo hivi ambavyo vipo chini ya nacte kuna technical supplimentary.. Mkuu ukienda chuo jipange..!
   
 8. A

  Aaron JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,126
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  aksante mkuu' nimejipanga sana kwani nilifahamu hayo yote.. Sapu,disco zipo kama nitalala..
   
 9. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  chuo cha maji kilikuwa kinatoa FTC tangu zamani mpaka nadhani 2008 kama sijakosea ndio kilianza kutoa hizo odinary diploma, na sio chuo cha maji tu, ni vyuo vyote vilihama kutoka system ya ftc to o'diploma ambayo ni equivalent na ftc/technician. kuhusu civil eng kushika nafasi za quality control nakataa mkuu kwa sababu water lab tech walikuwepo chuo cha maji tangu miaka hiyo, na hiyo civil eng ni ya udsm au maana pale walikuwa wanatoa technician tuu!!?? mie ni mdau secta ya maji na nawafahamu lab tech wa mamlaka nyingi pia
   
 10. e

  epau Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  oh! Mkuu.. Mie mwenyewe na juwa kuwa system ilibadilika kwenye vyuo hivi vya technical ambavyo vipo chini ya NACTE..since 2006.. Na mm sijaongelea hilo kutoka system ya ftc mpaka kwenye system ya NTA.. Nilichoongelea ni kwamba ktk mamlaka ye2 ya maji kuna wa2 wana act kule ktk mambo ya quality control.. Ambo walisoma civil engineering kwa upande wa matechnicians ambao wametoka DIT, MIST au ATC.. Ambao hawa stail kuwepo huko..! udsm tangu lini wanatoa matechnicians..? Au UCC?.. Hayo mamlaka ya maji tumepita na 2meona wa2 ambao wapo pale..
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukiona hivyo mkuu ujue ndugu walibebana na kupeana kazi na sio kwamba lab tech hawapo, wapo wengi sana tu mitaani. Afu hebu nisaidie
  tofauti kati ya tech na eng mkuu?
   
 12. K

  Kalikali Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nenda DIT ndugu yangu. Ukisoma hapo Chuo cha maji utaji-limit kweye uchunguzi wa maji pekee. lakini ukienda DIT utapanuka katika chunguzi za vitu mbali mbali. Utaweza ajiriwa na sehemu kama TFDA, TBL, viwanda vya vyakula pamoja na viwanda na wizara ya maji.

  ILA USHAURI WANGU: UNGEACHANA KABISA NA FANI ZA MAABARA. HAZILIPI KABISA HAPA KWETU TANZANIA PAMOJA NA NCHI NYINGI SANA.
   
 13. e

  epau Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lady N.. Unataka tofauti ya Technician na Engineer? Ni rahic ww google 2 kwa detailz zaidi.. bt t cmz umepita kwenye technical level.. Sasa ukisema nikupe tofauti ya technician na engineer ni kunipima... Ingekuwa uja declare interest kuwa ww upo kwenye nyanja ya maji ningeongea k2.. Kwa kudeclare interest na mm nimepita kwenye hizi technical education DIT pale enzi za ftc.. Kwahyo nilivyo kuwa na sema kuhusu wa2 ambao wapo kwenye mamlaka haya ya maji najuwa.. Coz nimeshafanya kaz pande hizo.. Hususa kwenye almashauri ze2 ndio hovyo..
  Kalikali.. Unasema jamaa aende DIT atapanuka ktk v2 mbali mbali.. Vp hivyo? Wakati unasema ataweza ajiriwa TBL. TFDA na Viwanda vya vyakula.. Kwahyo ulikuwa unamaanisha akasome Laboratory Technician? Sasa hapo anasoma vp v2 mbali mbali? Halafu kuna utaratibu wa kuingia vyuo hivi.. jamaa alishasema mwanzo amekuwa selected na serikali.. Kwenye chuo hicho cha maji.. Kwenye direct entry..
   
 14. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  my dia epau, naomba urudie mistrari kadhaa ya coment yangu hapo juu, by then kazi zilikuwaga za kupena mtoto wa mjomba na shangazi bila kujali qualification. kuhusu kwenda dit sikushauri mleta mada, we soma hiyo mbele. ya safari utahamua kama ufanyie kazi diploma au ujiendelez, maana chance za kuchukua degree zipo nje2 na pia kipata kazi nzuri nowdays kunadepend vitu vingi
   
 15. e

  epau Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lady N.. Mie na kubaliana na ww...
   
 16. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Mie sio mdau sana wa maji ila nimeuona mchango mkubwa wa hivi vyuo vilivyokuwa vinatoa hii FTC kwa ujumla kwani wataalamu waliokuwa wanatoka hapo walikuwa wana NONDO za uhakika na wana practical experience ya kutosha hivyo mdau akipata degree yake akamaliza vizuri ili afanikiwe katika kazi yake inatakiwa awe karibu na hawa watu wenye FTC asije akaleta kiburi cha kisomi maana hao jamaa ni noma na walifundishwa kisawasa enzi hizo hata ukikaa nae mpaka umuulize kiwango chake cha elimu. nakubaliana na epau kuwa hiyo kozi ni nzuri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. e

  epau Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu ftc ilikuwa mpango mzma ukilinganisha na system ya NTA Level ambayo inakuwa offered right now ambayo curriculam yake imekuwa reviewed kutoka ftc.. NACTE wanatakiwa kuchek tena units coverage ktk vyuo hivi vinavyotoa diploma kwa sasa coz ubora wa Diploma hii inayo tolewa ni tofauti na ubora wa enzi zile wa ftc.. Huyu ndugu akomae 2 na hii koz atatoka 2.. Kama kweli anania ya kutoboa haya maisha..
   
 18. A

  Aaron JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,126
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  aksanteni kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi..
   
Loading...