Asheengai Member Joined Mar 18, 2014 Posts 30 Reaction score 5 Mar 19, 2014 #1 Wanajamii ninaomba msaada wenu. 1. Nahitaji line ya uwakala tigopesa inayoweza faa temeke wilaya. 2. Naomba mawasiliano ya viongozi act. 3. Nauza gari yangu nipate ada , ni crester gx 100 vvti nyeusi number B. Asanteni.
Wanajamii ninaomba msaada wenu. 1. Nahitaji line ya uwakala tigopesa inayoweza faa temeke wilaya. 2. Naomba mawasiliano ya viongozi act. 3. Nauza gari yangu nipate ada , ni crester gx 100 vvti nyeusi number B. Asanteni.