Lutala JF-Expert Member Jun 17, 2010 848 103 May 7, 2015 #1 Wana jamvi, naombeni msaada wa anuani na namba ya simu ya Halmashauri ya Mufindi. Asanteni sana
GreenCity JF-Expert Member May 28, 2012 5,628 4,283 May 7, 2015 #2 Taja na mtu au cheo chake au idara husika, halmashauri ni pana!
Lutala JF-Expert Member Jun 17, 2010 848 103 May 7, 2015 Thread starter #3 Udara ya utumishi, tafadhari