Msaada: Connection ya kuhudumia wagonjwa wa CORONA kwenye QUARANTINE

Msaada: Connection ya kuhudumia wagonjwa wa CORONA kwenye QUARANTINE

Una shahada ya Nursing upo mtaani, sorry naomba niseme hivi You are not serious, Achana na hospital wew huwezi kuzunguka vyuo vya afya hasa uuguzi vinne ukakosa nafasi ya kufundisha, tena huko mikoani hata vyuo 3 havifiki unapata kazi ya kufundisha, trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalizo, kwenye cv yako usije ukasema unauzoefu wa miaka miwili
 
Kiukweli Mimi sijaelewa hasa nini sababu ya kuniattack vile, sababu Mimi nimesema nafanya shughuli ndogo ndogo ambazo kwa hali ya kawaida si za professional yangu.

Ndio maana nimeona hili suala la CORONA linaweza kunifanya nika_practics knowledge niliyo nayo kama akitokea mtu akaniunganisha na maeneo wanakowekwa watu hao maana wizara ndiyo ina_ recruit watu hao

that's why nikaja jukwaani huku nikijua kuna watu tofauti na wenye nyadhifa tofauti katika hii nchi ambao naamini wanaweza kunisaidia

Kama kuna sehemu nimekosea naomba nisamehewe na nielekezwe pia ili nisije kukosea wakati mwingine, Asante!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
imeisha hyo mkuu fanya mengine usisahau kuung mkono juhudi
 
Habari ya muda huu

Mimi ni muuguzi, level yangu ya elimu ni degree, kutokana na tatizo la Ajira nipo mtaani tangu nimalize intern ninafanya shughuli ndogo ndogo tu,

Hivyo basi waungwana ninaomba mwenye connection na wakubwa aniunganishe nipate hata nafasi ya kujitolea kuhudumia wagonjwa wa CORONA, kwani naamini inaweza ikawa njia ya kunikwamua huko mbeleni na pia kunipatia uzoefu katika kutoa huduma wakati wa magonjwa ya mlipuko.

Kwa anayeweza kunisaidia naomba atanitext nimpe details zangu zote,

Asante!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
hauogopi??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ndugu, tusaidiane kuzipata fursa

lakini nashangaa watu hawataki hata kutupa connection kama hizi za kujitolea, sijui mpaka mtu akija na thread inayoonesha amekata tamaa ya maisha anataka kujiua ndio watamsaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
shida nikwamba mkijaga huku kwenye kujitolea,mabosi wanawaajili nyinyi na kutuacha sisi.

kwa sababu mnajitoa sana kuliko hata sisi waajiriwa.

nataman sna kutoa connection ila upande wa pili inakula kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Lile tangazo la kazi kutibia watu wa corona walilotoa WHO hukuliona?
 
Habari ya muda huu

Mimi ni muuguzi, level yangu ya elimu ni degree, kutokana na tatizo la Ajira nipo mtaani tangu nimalize intern ninafanya shughuli ndogo ndogo tu,

Hivyo basi waungwana ninaomba mwenye connection na wakubwa aniunganishe nipate hata nafasi ya kujitolea kuhudumia wagonjwa wa CORONA, kwani naamini inaweza ikawa njia ya kunikwamua huko mbeleni na pia kunipatia uzoefu katika kutoa huduma wakati wa magonjwa ya mlipuko.

Kwa anayeweza kunisaidia naomba atanitext nimpe details zangu zote,

Asante!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda DART pale Ofisi za Mwendokasi kuna nafasi za kunawisha watu mikono kama sijakosea wametoa nafasi 80.
 
Jaribu na huko
IMG-20200324-WA0005.jpeg
IMG-20200324-WA0006.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom