proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,582
- 4,942
Habari ya muda huu
Mimi ni muuguzi, level yangu ya elimu ni degree, kutokana na tatizo la Ajira nipo mtaani tangu nimalize intern ninafanya shughuli ndogo ndogo tu,
Hivyo basi waungwana ninaomba mwenye connection na wakubwa aniunganishe nipate hata nafasi ya kujitolea kuhudumia wagonjwa wa CORONA, kwani naamini inaweza ikawa njia ya kunikwamua huko mbeleni na pia kunipatia uzoefu katika kutoa huduma wakati wa magonjwa ya mlipuko.
Kwa anayeweza kunisaidia naomba atanitext nimpe details zangu zote,
Asante!!!
Sent using Jamii Forums mobile app