Msaada conflicting application.

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,368
Reaction score
3,211
Wakuu Habari?
Wanajukwaa,simu yangu imepatwa na hilo tatzo(heading).
Kwa kawaida simu yangu nime i set after on month i update Nokia Software.
Sasa jana ikanijurisha kuna new SW,nika i update,baada ya kumaliza hilo zoez nilpo fungua tu,ikaniandikia hiv "Conflicting application" zaid ya hapo inaandika Nokia Xpress.
Nimejaribu ku restore imegoma kurudi katika hali yake ya awali.
Naombeni msaada wenu wataalam.
"ahsante kwa mchango wako"
 

ni nokia which model
 
Nokia Asha 303:
hope ntasaidiwa.
@ mickey.T

nokia xpress browser ndio ina matatizo. Download opera mini kisha ingia store udownload copy nyengine. Ebu jaribu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: 1gb
mkuu thanks
Nimefanikisha zoez,ishu inakuja hapa

hapo kwenye internet hapa funguki

ingia na hapo nokia ndio usearch opera. Ukiipata download then ingia downloads.browser.ovi.com
 
Reactions: 1gb
Mkuu mickey.T
Usichoke pls
Zoez la kufungua hapo ulipo nielekeza,hapafunguk hapo(nokia).uki bofya pana ganda karibu sek 120:*:ukikata ukafungua tena inanambia' "Cannot launch browser,annother java application running"
finish ni mwendo huohuo tu.
Usichoke mkuu
 
Last edited by a moderator:

ebu post snap ya home screen yako
 
Last edited by a moderator:
Icho kama kimkoba cheupe na blue background ndio icon ya ovi store. Ingiamo kama umekiona
 
Mkuu
hapo ovi store inafunguka bila wasi,Tatzo ishu inakujamo kwenye Icon ya internte kama ilivyokuja na simu ndo haifnguki,na tatzo lipo pale pale,Ijapokuwa sasa na tumia operamin browser,
kutokufunguka kwa hiyo icon imesababisha some apps zisifunction .mfano map,na ynyw saaiv hai function.

1:hapo internet hapafunguki."conflicting application show items?"
ukibofya yes Inaandika Nokia Xpress,basi haiendelei mbele.
2.Pale nokia (penye chain)ukifungua "cannot launch browser annother application running"
3.nikifungua nokia store inapiga mzigo kama kawa.
Umenielewa sasa mkuu?
 

sasa kama opera inapiga mzigo. Ingia ovi.com na opera then search for browsers ukipata nokia xpress download tatizo litakwisha.
 

was it a full restore?
 
Mkuu mickey.T
Ahsante sana now iko poa,nimefuata ushauri wako wa ku download Nokia Xpress through Opera.
Nimeingia huko nikakuta wenzangu wengi waliowahi kupatwa na tatzo hilo,Nikafuata link walizo elekezwa na Nokia,Kisha nikadownload now ipo vizuri.Thanks alot.
Kweli jukwaa hili halina wachoyo.
 
Last edited by a moderator:
Imeshuka na Duble duble (double) window full utamu.
 

welcome
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…